Siku Ya Mwisho Kwa Papa Benedict 16 Kuwepo Vatican, Asema Atamtii Mrithi wake.
Swali kwa sasa Je ni nani atakirithi kiti hiki? |
Papa Benedict 16 (miaka 85) waaga rasmi waumini wa kanisa katoliki duniani Kote.
Akiwa katika harakati za Kuondoka Vatican Papa Benedict amewaaga makardinali waliohudhuria tukio hilo na kuahidi kumtii mrithi wake. hata Hivyo amesema Kwamba ana imani kwamba Mungu atawaongoza makadinali hao kumchagua mtu hasa atakaefaa kuwa mrithi wake.
Papa Benedict xvi akiotoka katika hall ya Paul VI | . |
No comments:
Post a Comment